
Weekend
iliyopita mwimbaji wa Bongofleva Ali kiba alivamiwa nyumbani kwake
Kunduchi Dar es salaam na Majambazi ambao walikua zaidi ya 15, Ali Kiba
mwenyewe alikuwepo ndani ambapo walivunja milango yote na kufanikiwa
kuingia ndani.
Kisa kizima anakielezea Ali Kiba kwenye hii video hapa chini…
Post a Comment