Kilichotawala #Magazetini leo MAY 8 2015
ni ishu ya mafuriko Dar kutokana na mvua, foleni zimetawala, magari
yazama.. wapo waliofariki, kingine ni stori ya Sheria za Matumizi ya
Mitandao TZ, kuna mahojiano pia na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa
ambapo anazungumzia kuhusu mabadiliko ya Hali ya Hewa pamoja na mvua
zinazoendelea kunyesha.
Stori nyingine inahusu Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuwataka Watanzania wenye uwezo kuanzisha viwanda ndani ya nchi ili kupunguza usafirishaji wa Malighafi ambao hauna faida.
Pia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick amezungumzia kuhusu hali ilivyo Dar kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.

Post a Comment