Mvua
imekua ikinyesha mfululizo kwenye jiji la Dar es salaam ambapo kwenye
sehemu nyingi Madimbwi ndio yanayoonekana, yani maji yamesimama na hata
mtu anaweza kuzama asipokuwa makini.
Lakini wakati hayo yote yakiendelea, kuna
upande mwingine wa vituko huku tunakoishi… bila kujali haya maji yana
madhara gani, jamaa mmoja amenaswa akijitupa kwenye dimbwi yani kama
yuko kwenye swimming pool, tazama video yake hapa chini.

Post a Comment