0
Huddah 2Huddah ni mrembo kutokea Kenya ambapo umaarufu wake ulipata uzito mkubwa baada ya kuiwakilisha nchi yake kwenye shindano la Big Brother Africa, May 3 2015 alipita kwenye studio za Millard Ayo Dar es salaam na kufanya hii Interview, hii ni Part 1, part II itafata hivi karibuni akielezea ukweli wake na Prezzo pamoja na kinachompa pesa.

Post a Comment

 
Top