0


Kwa Mujibu wa chombo kimoja cha habari inasemekana Baba Mzazi wa Diamond, Mzee Abdul Juma Hali yake si nzuri kiafya kwani anasumbuliwa na Ugonjwa wa miguu kiasa cha kuwa ni mtu wa kulala tu hajiwezi ..
Baba huyo wa Diamond Amedai kuwa Mtoto wake Diamond Hajawahi kumsaidia chochote kuhusu ugonjwa wake wala kwenda kumjulia hali japo alishatangaza kwenye vyombo vya habari kuwa ameshamsamehe baba yake Mzazi..

Post a Comment

 
Top