Wiki
iliyopita yalitangazwa majina ya wale waliofanikiwa kuingia kwenye
mashindano ya Tanzania Music Awards,Jumatatu Mei 04 wamekutanishwa kwa
ajili ya semina kabla ya wananchi kuanza kupiga kura.Hizi ni baadhi ya picha za wateule ambao wameteuliwa kuwania nafasi mbalimbali kwenye tuzo hizi ambapo siku hii pia Wateule wameitumia kumuimbia na kumtakia heri ya kuzaliwa Bi.Khadija Kopa.












Post a Comment