Leo kwenye stori kubwa magazetini iko ya Mbunge Andrew Chenge
kugomea kuendelea kuhojiwa na Tume ya Maadili kuhusu ishu ya ESCROW,
wanafunzi wa kidato cha sita ambao wameanza mtihani jana ni baadhi ya
watu ambao wameathiriwa sana na ishu ya mgomo.
Raia watatu wa Ugiriki na Mtanzania mmoja wamepandishwa Mahakama ya Kisutu kwa kosa la kughushi muhuri wa IGP Mangu,
Kamati yaikataa Bajeti ya Wizara ya Maliasili kutokana na kupuuzwa kwa
mapendekezo yao, idadi ya wakimbizi wanaoingia toka Burundi imeongezeka.
Stori nyingine inahusu raia wa Kenya
ambaye ana asili ya Uarabuni amekamatwa kwa kujaribu kufungua mashine ya
ATM na nyingine Kamati ya Bunge ya Miundombinu wamemfukuza Waziri Magufuli baada ya kushindwa kutoa maelezo kuhusu Serikali itakavyolipa madeni ya wakandarasi.

Post a Comment