Inawezekana Irene Uwoya ameamua kuweka sehemu ya historia ya maisha yake kwenye ukurasa wake wa kijamii wa Instagram na kuamua kushare na Watanzania.
Kwa
mujibu wa sehemu ya maelezo yake ni kama anataka kuwaelezea watu kuhusu
sehemu ya maisha yake aliyoyapitia kipindi cha nyuma licha ya kuishia
katikati na kusema kuwa ataendelea tena.
Hii ni sehemu ya kwanza ambayo Irene ameiweka kwenye ukurasa wake.
INAENDELEA...bunge
na kumaliza la saba!nikaenda kidato cha kwanza st.thomas gongolamboto
mpaka kidato cha pili badae nikaenda Uganda nikasoma mpaka kidato cha 3
nikarud bongo kuchukua pass mpya coz yakwanza ilikuwa imesha
isha…..ilikuwa ijumaaa nikiwa nimeenda kwajili ya pass mpya nirud
shule!!!ndipo nilikutana na kaka mmoja mrefu,mweusi akaniita
malaika”nikashangaa mhh mbona sio jina langu ?akanisogelea a kanambia
kwa lugha ya kingereza Naitwa Patrick ponce monzanga!nikawa na
nashangaaa coz sikuwa namjua’nikamwambia naitwa irene akanambia naomba
nikwite malaika coz ur sooo beautiful huku akinipa mkono…nilipo mpa
mkono tuuu basiii kumbe nilikuwa nimejitengenezea bomu bila kujua….
Post a Comment