Trace TV
ya Ufaransa ni kituo kingine cha TV kinachoonekana Afrika kupitia
huduma ya kulipia kikiwa na nafasi yake kwenye upande wa burudani
hususani muziki wa kizazi cha sasa.
Usiku wa March 17 kilitoa list ya video za nyimbo bora za Urban ambazo kwenye hii countdown zipo 5 katika list hii ni Mtanzania Ay kupitia wimbo uitwao Zigo Remix aliyomshirikisha Diamond Platnumz ndio pekee waliotokelezea.
5.Ay ft Diamond Platnumz – Zigo Remix
- Rihanna – Work ft Drake
Post a Comment