Kama
ulipata taarifa za matokeo ya urais Zanzibar, Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli yalimfikia pia, nakukaribisha
kuzisoma sentensi Mbili za Rais Magufuli baada ya kupokea matokeo
hayo…..
‘>>>Nakupongeza
kwa dhati Rais Mteule Dkt. Ali Mohamed Shein kwa ushindi ulioupata,
ushindi ambao umeonesha kuwa wananchi wa Zanzibar bado wanahitaji
uwaongoze kwa kipindi kingine cha miaka mitano‘
>>>’Ndugu
zangu wa Zanzibar uchaguzi umekwisha, kilichobaki sasa ni kushirikiana
na serikali yenu kuijenga Zanzibar na ninaamini mnao wakati mzuri wa
kuijenga Zanzibar yenye maendeleo chini ya uongozi wa Dkt. Ali Mohamed
Shein‘

Post a Comment