Harmonize ni msanii wa kwanza kusainiwa kwenye lebo ya Diamond Platnumz (WCB) ambapo amedrop single ya pili (bado) baada ya ile ya kwanza Aiyola, video ya ‘bado‘ aliifanyia South Africa na amerudi na stori nyingi anazohadithia kwenye video hapa chini
Post a Comment