
Soud Brown amepiga stori na Witness ambaye amesema walianza kufanya kazi kwenye kampuni ya uigizaji ya Tuesday Entertainment…tangu mwaka jana mwezi wa 10..tulikubaliana namna ya malipo lakini baadaye akaanza kuwageuka akidai hawakulipwa na uongozi wake African Magic.
Anasema hawakulipwa hadi ikafika miezi mitano huku wakiwa tayari wameshoot sesson nne ya tamthiliya ya ‘High Heels’..na waliingia mkataba wa miezi 10 na katika mkataba huo hauwaruhusu kufanya kazi sehemu nyingine.
Msikilize hapa akihojiwa na Soudy Brown..
Post a Comment