0

.
.
Tumeshazoea kuona kumbi zinazotumika katika utoaji wa tuzo mara nyingi huo ni kumbi za Mlimani City sasa good news ninayotaka kukusogezea ni hii ya hapa Durban ambapo ukumbi wao unaofahamika kwa jina la ‘ICC Arena’ uliotumika kwenye utoaji wa tuzo za MTV unaingiza zaidi ya watu 10,000.
Hizi ni baadhi ya picha zikionesha sehemu tofauti tofauti za mjengo huo
.
Muonekano wa Durban South Africa July 19 2015.
.
Taxi zilikuwepo eneo la tukio kuhakikisha abiria wanaotoka kwenye utoaji wa tuzo wa MTV wanapata huduma ya usafiri.
.
ICC  Arena Durban.
.
Watu mbalimbali walioshudia utoaji wa tuzo za MTV 2015.
.
ICC Arena Durban kwa ndani.
.
Watu wa nguvu wakiwa wanajiandaa kuingia kwenye utoaji wa tuzo za MTV 2015.
.
.
.
Taxi  zilikuwepo kwenye eneo la tukio kuhakikisha kila kitu kipo powa.
.
.
.
Ulinzi uliimarishwa huku kukiwa na magari ya polisi pande zote.
.
.
.
Muonekano wa jengo hilo la ICC Durban kwa nje.
AyoTV:Diamond Platnumz kazungumza ukweli kuhusu beef na Davido na walivyokutana  juzi, mtoto wiki ijayo
Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.
Dr Mwaka - Foreplan Clinic

Post a Comment

 
Top