Selfie stick zilipigwa marufuku ndani ya Disney Them Park,
Marekani.. walikuwa serious kabisa kwenye hii ishu, walizuia ili
kuepusha mazingira ya uharibifu wa pichaz na vitu vingine vya kuvutia
ambavyo vimening’inizwa juu kwenye garden hiyo ambayo ina vitu vya
burudani pia kama vile michezo ya watoto.
Hawajaishia kwenye selfie stick pekeake, hii ndio list ya vingine ambavyo ni MARUFUKU kuingia navyo ndani ya hifadhi hiyo!

Wale wa Selfiestick tafadhali, ni bora ukaiacha home au kwenye gari yako.. Ndani ya Disney Park ni MARUFUKU !!
Mambo ya kuvaa vinyago au ile kofia ya kufunika uso kama Gossip Cop kwao hapana

Post a Comment