0


DSC_0274Ni muda mrefu umepita tangu imeachiwa audio ambayo ndani yake kuna wakali watatu,AYChid Benz na Diamond Platnumz– ‘Mpaka Kuchee‘.. Diamond aliahidi kuisimamia video ya hii ngoma lakini tunaona kimya, nini kinaendelea?
Mpaka KucheeDiamond amesema mpango uko palepale japo mambo mengi yameingilia kati na kila mmoja yuko busy na mambo yake lakini muda utafika na video itafanywa tu !!
Mama wa Marehemu Albert Mangwea anasikika tena kwenye 255.. kingine aichokisema ni kwamba family haiko tayari kuruhusu mtu yoyote kutumia style kama ya MarehemuMangwea, kwa sababu bado hawajakaa na kukubaliana kuhusu ishu hiyo.
Director mkali toka Kenya, Kevin Bosco tayari tunazijua kazi nzuri kwenye suala zima la kufanya video za muziki.. kwenye list ya kazi zake kubwa alizofanya na mastaa kama AY,Mwana FAVictoria Kimani, na wengine wengi kumbe bado jamaa kuna watu anawacheki na anatamani kufanya nao kazi.
.
Director Kevin Bosco
Hapa nimenukuu jibu lake >>> “Nataka kufanya kazi na Prof. Jay.. nimeanza kumsikiliza  nikiwa mdogo sana, nimemsikiliza nikiwa nakua.. nimemsikiliza zaidi kuliko hata wasanii wa Kenya“>>> Kevin Bosco.

Post a Comment

 
Top