Moja ya mastaa wanaofanya vyema katika industry ya muziki Nigeria ni pamoja na Olamide ambaye tayari nyimbo zake nyingi zikiwemo alizowashirikisha mastaa mbalimbali zimefanya vizuri.
Olamide ameamua kuja na video yake mpya ya single yake ya ‘Bobo’ iliyofanyika jijini Lagos.
Post a Comment