Katibu
Mkuu wa Muungano wa vyama vya madereva Tanzania Rashid Saleh anasema
madereva wanataka kusikilizwa matakwa yao ili kuachana na mgomo
unaoendelea sasa.

Askari
wa Jeshi la Polisi wakiwa katika eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar
es salaam asubuhi ya leo kusimamia usalama kufuatia mgomo wa madereva
wa mabasi ulioanza leo kwa mara nyingine kushinikiza kutekelezewa
matakwa yao

Mabasi
yanayofanya safari zake kati ya Dar es salaam na mikoa ya kusini yakiwa
yameegeshwa kwenye kituo cha Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es salaam
katika mgomo wa madereva

Kituo cha Daladala cha Mbagala Rangi Tatu kikiwa kimefurika abiria kufuatia mgomo unaoendelea

Post a Comment