
Mose Iyobo anaetajwa kuwa Baba Kijacho naye alikuwepo.
Ni post nyingine inayomuhusu mwigizaji Aunt
Ezekiel ambaye ni mjamzito kwa sasa na amekua akitajwa mapenzini na
Moses ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz, May 9 2015 ndio baby shower
imefanyika nje ya jiji la Dar es salaam ambapo marafiki mbalimbali
walijitokeza akiwemo Kajala.












Post a Comment