Kama
unakumbuka mmoja wa Wageni wa Party ya Zari all White Party pale
mlimani City alikuwa pia Mrembo Huddah Monroe , Lakini Pamoja na Kuweka
picha kwenye Instagram Akiwa Ameshatua Bongo kwa Party hiyo akiwa
hotelini pale Hyatt zamani Kempinski Mrembo huyo hakuweza hudhuria hiyo
Party ..Sasa
ubuyu uliopo mtaani ni kuwa sababu za yeye kushindwa kuhudhuria party
hiyo ni mtoto wa Mahita a.ka Tajiri mutoto, inasemekana walikutana pale
Hotelini na kuanza kupagawishana na kusahau kila kitu ..Mwendelezo wa
hao wawili ulihamia kwenye visiwa vya Zanzibar kama Picha zinavyoonyesha
hapa chini kwenye picha ambapo kila mmoja alikuwa akipost picha wakiwa
kwenye Boti..ukiangalia kwa makini hilo ni Boti Moja Japo Hawakupiga
Picha ya Pamoja...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





Post a Comment