
U Heard ya leo May 2 2015 kuna story inayohusu tuhuma za director wa Bongo Movie, John Kallage kudhulumu pesa ambazo alilipwa na Irene Uwoya na Msami kwa ajili ya kuwatengenezea movie !!
Kwenye majibu ya Kallage iko sentensi kasema hivi; “ni wao kwa sababu hawajalipa pesa“.. kingine amesema kwamba Irene alimwambia akachukue hela kwa mtu mwingine ndiyo maana wakashindwana.
Lakini kwa upande wa Irene Uwoya amesema walienda kushoot South Africa, baada ya kumaliza Kallage
alitaka aendelee kubaki kule ili amalizie kuedit kabisa, Irene akaingia
gharama nyingine zaidi.. tangu hapo hawajaonana na kila akimtafuta
hapatikani.
U Heard iko hapa kwenye hii sauti mtu wangu…
Post a Comment